Psalms 104:3-4


3 ana kuziweka nguzo za orofa yake juu ya maji.
Huyafanya mawingu kuwa gari lake,
na hupanda kwenye mbawa za upepo.

4 bHuzifanya pepo kuwa wajumbe
Au: malaika.
wake,
miali ya moto watumishi wake.

Copyright information for SwhKC